Friday, 20 November 2015

MANENO YA  HEKIMA YA  DR SALMIN AMOUR
ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR KWENYE
 UJENZI WA MJI WA KISASA FUMBA.
Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa alipowasili Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika ziara ya kutembelea maeneo ya ujenzi wa Mji mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group kwa kushirikiana Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,
 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali wakati alipowasili Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika ziara ya
 kutembelea maeneo ya ujenzi wa Mji mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na 
Kampuni ya Azam Group kwa kushirikiana na Serikali nya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata 
maelezo kwa ufupi kutoka kwa  Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Bw.Said Salim Bakhresa 
alipowasili Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika ziara ya kutembelea maeneo ya ujenzi wa
 Mji mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group kwa kushirikiana 
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,(kushoto) Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitega Uchumi 
Zanzibar Nd,Salum Khamis Nassor.
 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa ufupi Mkurugenzi Mkuu Bw.Roberto Soponto wa Kampuni ya 
Azam Group kuhusu Ujenzi wa Nyuma za Kisasa takriban Miatano zinazotarajiwa kujengwa katika
  fukwe za Kijiji cha Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja alifanya ziara ya kutembelea maeneo 
hayo jana,ambapo  ujenzi huo utafanyika kwa ushirikiano wa Kampuni ya Azam Group na  
 Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,(kulia) Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar Nd,Salum Khamis Nassor na (kushoto) Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Bw.Said Salim Bakhresa.
 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar Nd,Salum Khamis Nassor
 wakati alipokuwa akiangalia ramani ya Ujenzi wa Nyuma za Kisasa zitakazojengwa na Kampuni ya
 Azam Group kwa kushirikiana Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika maeneo ya fukwe za 
Kijiji cha Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja alipofanya ziara maalum,[
Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Bw.Hudhaifa Yussuf Ali Mchoraji wakati alipokuwa akiangalia zamani za 
ujenzo wa Nyumba za kisasa zitakazojengwa katika fukwe za Kijiji cha Fumba Mkoa wa Magharibi
 Unguja alipokuwa katika ziara maalum ya kutembea maeneo hayo jana,ujenzi huo utafanyika kwa ushirikiano wa Kampuni ya Azam Group na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

KUAPISHWA KWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 
 MHE. DR JOHN POMBE MAGUFULI NA MAKAMU WA RAIS MH. SAMIA SULUHU HASSAN UWANJA WA TAIFA  DAR ES SALAM.

             Rais wa awamu ya tano Dr Magufuli akila kiapo mbele y ajaji mkuu wa Tanzania.
     Makamu wa  Rais wa Tanzania Mhe  Samia Suluhu akila kiapo mbele ya jaji mkuu wa Tanzania.

     Kwaherini Watanzania , Mhe Dr Jakaya Kikwete na Mhe Dr  Bilal wakiwaaga Watanzania.
      Rais  mpya wa Tanzania akikagua gwaride  la  heshima baada  ya  kula kiapo.

        KUAPISHWA KWA WAZIRI MKUU WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. MAJALIWAKASSIM MAJALIWA UKUMBI WA CHIMWAGA DODODMA.
      Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha Kassim Majaliwa Kassim kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni, hafla ya kiapo ilifanyika leo Ikulu ya Chamwino Mkoa wa Dodoma.
     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya kiapo Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim  baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni, hafla ya kiapo ilifanyika leo Ikulu ya Chamwino Mkoa wa Dodoma .
           Makamo wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim baada ya kuapishwa  rasmi kushika wadhifa wake huo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo,
     Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim baada ya kuapishwa  rasmi kushika wadhifa wake huo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo,
     Makamo wa Pili wa Rais wa  Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim baada ya kuapishwa  rasmi kushika wadhifa wake huo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo.
     Watoto wa Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim wakimshuhudia  Baba yao akiapishwa na  leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo


    Viongozi wa Wakuu wa majeshi ya  Ulinzi pamoja na Viongozi mbali mbali waalikwa wakiwa katika hafla ya kuapishwa Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim leo katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment